Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha baraza la Mawaziri
kilichofanyika ikulu jijini Da es Salaam leo.Wapili Kulia ni Makamu wa
Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal na watu kulia ni Katibu mkuu kiongozi
Balozi Ombeni Sefue(Picha na Freddy Maro)
Wafanyabiashara 774 kati ya 1,520 waliotambuliwa kuwa na sifa za kurejeshwa
katika soko la Kariakoo
-
WAFANYABIASHARA 774 kati ya 1,520 waliotambuliwa kuwa na sifa za kurejeshwa
katika soko la Kariakoo wamejitokeza leo (Februari 07,2025) katika ukumbi
...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment