Pages

Saturday, August 24, 2013

Taarifa Kwa Umma Kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ):Jeshi la Wananchi wa Tanzania Litatoa Taarifa Rasmi Kuhusu Kutoroka Kwa Luteni Kanali Coelestine Seromba.



   JWTZ litatoa taarifa kuhusu kutoroka kwa Luteni Kanali Coelestine Seromba.  Kwa mujibu wa taarifa kutoka Makao Makuu ya Jeshi hilo, taarifa hizo zitatolewa Agosti 24. 
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi.
Dar es Salaam.
Kwa Mawasiliano zaidi 
 0715-270136 au 0754-270136

No comments:

Post a Comment