Pages
(Move to ...)
Home
IT page
Advertisement
Sports news
comedy zone
Contanct and where we are
JICHO LA CAMERA YANGU
▼
Wednesday, August 21, 2013
VYUO VYA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY ARUSHA (IAA) NA GALGOTIAS UNIVERSITY CHA INDIA VYASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO
Meneja Uhusiano wa Mamlaka ya mawasiliano Nchini Tanzania TCRA Bw. Inocent Mungi ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Profesa John Nkoma akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kuanza kwa ushirikiano kati ya chuo Kikuu cha Galgotias University cha India na chuo cha Uhasibu cha Arusha Institute Of Accountancy Arusha (IAA) wananfunzi kutoka Tanzania watakwenda kusoma katika chuo hicho kwa kozi za Master Degree in Software Engneering, Information Security na Computer Applications, wanaoshuhudia tukio hilo ni Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Profesa Johannes Monyo kushoto na Dr Ashok Saxsena Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Golgotias, uzinduzi huo umefanyika jana kwenye hoteli ya Holiday Inn Posta
Meneja Uhusiano wa Mamlaka ya mawasiliano Nchini Tanzania TCRA Bw. Inocent Mungi ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Profesa John Nkoma akionyesha mikataba hiyo mara baada ya uzinduzi rasmi wa kuanza kwa ushirikiano kati ya chuo Kikuu cha Galgotias University cha India na chuo cha Uhasibu cha Arusha Institute Of Accountancy Arusha (IAA) wanaoshuhudia tukio hilo kupiga makofi ni Mkuu wa Chuo cha (IAA) Profesa Johannes Monyo kushoto na Dr. Ashok Saxsena Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Golgotias, uzinduzi huo umefanyika jana kwenye hoteli ya Holiday Inn Posta
Mkuu wa Chuo cha IAA Profesa Johannes Monyo kushoto ba Dk Ashok Saxsena Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Golgotias wakibadilishana mikataba mara baada ya uzinduzi huo umefanyika jana kwenye hoteli ya Holiday Inn Posta, katikati ni
Meneja Uhusiano wa Mamlaka ya mawasiliano Nchini Tanzania TCRA Bw. Inocent Mungi
Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Profesa Johannes Monyo kushoto na Dk Ashok Saxsena Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Golgotias, wakionyesha mikataba mara baada ya uzinduzi huo umefanyika jana kwenye hoteli ya Holiday Inn Posta, katikati ni
Meneja Uhusiano wa Mamlaka ya mawasiliano Nchini Tanzania TCRA Bw. Inocent Mungi
Dr Suleiman Mohamed Mjumbe wa Baraza la Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) akizungumza katika uzinduzi huo
Dk Ashok Saxsena Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Galgotias akielezea mipango mara baada ya kuingia mkataba wa ushirikiano na chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika uzinduzi huo jana
Wawakilishi wa vyuo mbalimbali na taasisi walioalikwa wakiwa katika hafla hiyo
Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Profesa Johannes Monyo akizungumza katika uzinduzi huo jana
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment