WATOTO WA BILIONEA ALIYEUAWA KILIMANJARO WAFIKA MAHAKAMANI KUSHUHUDIA KESI YA WATUHUMIWA WA MAUAJI YA BABA YAO IKISOMWA
Watoto
wa marehemu Erasto Msuya wakiwa na shangazi zao Esta Msuya (kushoto) na
Antuja Msuya (kulia) kwenye Mahakama ya Moshi Mkoani Kilimanjarao jana
ambapo walishuhuduia watuhumiwa wa mauaji ya baba yao wakisomewa
mashtaka mbele ya Hakimu mkazi Munga Sabuni na Mwendesha mashtaka Stella
Majaliwa aliwataja washitakiwa hao kuwa ni Shariff Mohamed Athumani
(31) Shwaibu Jumanne Said (38) na Musa Mangu (30).picha na mdau Joseph Lyimo
No comments:
Post a Comment