Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea Cheki kutoka
kwa Rais,pia Meneja Mkuu wa kamapuni ya Sakura Finetek Europe, Chris Koeman,kwa
ajili ya Uchunguzi wa Maradhi ya binadamu katika Hospitali ya Mnazi
Mmoja,wakati wa mkutano wa ushiriano katika kukuza huduma na kampuni hiyo,na
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,katika ziara Nchini Uholanzi.Picha Na Habari Mtandao Wa Habari Maelezo |
No comments:
Post a Comment