Pages

Sunday, September 29, 2013

ASKARI POLISI NUSURA AMUUE MCHEZAJI WA MBEYA CITY KWA KUMPIGA NA RUNGU, ATOKOMEA UWANJANI. KISA NI USHABIKI. SOMA HAPA


 Mchezaji wa timu ya Coast Union alipopewa kadi Nyekundu......uwanja wa sokoine Mbeya dhidi ya Mbeya City...
 Mmoja wa askari anayedaiwa kuwa walikuwa na askari aliyempiga virungu tumboni mchezaji wa Mbeya City...
Mchezaji wa timu ya Mbeya City, Jeremiah Joh, akiwa amebebwa na baadhi ya viongozi wa timu hiyo baada ya kupigwa virungu na askari polisi ndani ya uwanja wa Sokoine eneo la chumba cha kubadilishia nguo wachezaji.

Mchezaji huyo alikimbizwa hospitalini kwa ajili ya matibabu.

CREDIT KALULUNGA MEDIA NA BONGOCLANTZ

No comments:

Post a Comment