Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, September 13, 2013

BREAKING NEWS:PADRI WA KANISA KATOLIKI PAROKIA YA CHEJU ZANZIBAR AMWAGIWA TINDIKALI


Padri wa kanisa Katoliki Parokia ya Cheju Zanzibar, Anselmo Mwangamba amejeruhiwa usoni na kifuani baada ya kumwagiwa tindikali.
KWA HABARI ZAIDI KAA NASI  SOURCE : PAMOJA BLOG

No comments:

Post a Comment