Pages

Wednesday, September 4, 2013

DONT TRY THIS AT HOME.....


Mtu huyu alionekana kuwaacha watu wengi midomo wazi pale alipoweka nyoka mdomoni mwake na nyoka hizo kutokea puani. Tendo hilo lililowaacha watu wakitaharuki lilifanyika katika jiji la Beiging China wakati wakazi wa China wakisherehekea sikukuu ya mwaka mpya hapo jana.

Hatahivyo sherehe hizo ziliendelea katika maeneo mbali mbali ya China ambapo pia walikuwa wakisherehekea kumbukumbu za mwaka wa nyoka.


Itabidi uamini tu macho yako kwamba hili linawezekana na limeshatokea.

No comments:

Post a Comment