Mkuu
wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa
(katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa
offer ya miito ya simu jijini Dar es Salaam. Kupitio ofa hio, wateja
wanaweza kuchukua wimbo wa Diamond Platinumz kama Ring Back Tone (RBT)
na wajishindie Tsh50,000 kwa siku. Kushoto ni msanii wa muziki ya kizazi
kipya, Diamond Platinumz na kulia ni Meneja wa Mahusiano ya Nje wa
Vodacom Tanzania, Salum Mwalim.
Msanii
wa muziki ya kizazi kipya Diamond Platinumz (kushoto) akizungumza na
waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa offer ya miito ya simu jijini
Dar es Salaam. Kupitia ofa hio, wateja wanaweza kuchukua wimbo wa
Diamond Platinumz kama Ring Back Tone (RBT) na wajishindie Tsh50,000 kwa
siku. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom
Tanzania, Kelvin Twissa (katikati) na kulia ni Salum Mwalim, Mejena wa
Mahusiano ya Nje, Vodacom Tanzania.
Msanii
wa muziki ya kizazi kipya Diamond Platinumz (kushoto) akisalimiana na
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin
Twissa, punde baada ya kusaini mkataba utakaowezesha wateja kuchukua
wimbo wa Diamond Platinumz kama Ring Back Tone (RBT) na wajishindie
Tsh50,000 kwa siku. Anayeshuhudia ni Salum Mwalim , Mejena wa Mahusiano
ya Nje, Vodacom Tanzania.
Msanii
wa muziki ya kizazi kipya Diamond Platinumz (mwenye fulana nyekundu)
akiucheza wimbo wake mpya ujuikanao kama My Number One, wakati wa
uzinduzi wa mkataba utakaowezesha wateja kuchukua wimbo huo kama Ring
Back Tone (RBT) na wajishindie Tsh50,000 kwa siku. Mkataba huo ni baina
ya Diamond Platinumz na Vodacom Tanzania.
SOURCE : ISSA MICHUZI
SOURCE : ISSA MICHUZI
No comments:
Post a Comment