Siku jana msanii ambaye anapiga kitabu pande za China “Jux” alifanya
bonge la birthday party pamoja na kuzindua rasmi kichupa cha “uzuri
wako”.
Uzinduzi huo ulifanyika club Billcanas huku washabiki wakishudia
wasanii kama Dully aka Mr Misifa, Vanessa Mdee, Rich Mavoko, Cyril
wakitoa support kwa jux pamoja na kuburudisha mashabiki waliojitokeza
kwenye tamasha hilo.
Tazama picha ili kuweza kujua jinsi show ilivyokuwa ya kipekeee.
No comments:
Post a Comment