Gavana wa kenya aitwae Kidero amezidisha mipaka kwa kumpiga kofi mwanamke aliyeenda kwenye ofisini kwake na kuanza kumuuliza maswali mengi kuhusu mishahara ambayo haijalipwa kwa baadhi ya wafanyakazi wa serikali.
Gavana alikasirika mwanamke huyo alipomcofront kuhusu issue hizo.Hapana chezea magavana wa kikenya....lol

No comments:
Post a Comment