Pages

Sunday, September 29, 2013

HUZUNI::BINTI AVULIWA NGUO NA WANAKIJIJI BAADA YA KUMJERUHI MWENZIE ALIPOMFUMANIA NA MWANAUME WAKE.



Hawa  ni  mabinti  wawili  ambao  walikuwa  ni  marafiki wa  damu.Urafiki wao uliingia  dosari  baada  ya  mabinti  hao  kusalitiana  na  kuchukuliana  wapenzi....

Anayevuja  damu  usoni ni  binti  ambaye  amechanwa   nyembe  na Magreth  ( rafiki yake ) akimtuhumu  kutembea  na  mpenzi wake.
 


Tukio hilo liliwakera wanakijiji  na  kuamua  kungilia  kati  ugomvi  huo  kwa kumpiga Magreth na  hatimaye  kumvua  nguo  wakidai  kuwa  hata  yeye  ni  kahaba  tu  maana  huyo  mwanaume  siyo  mume  wake  bali  ni  hawala  tu .

http://3.bp.blogspot.com/-pObWYwoyfA0/UkeLx94jeFI/AAAAAAAAmdk/n5n11ZtdGKA/s1600/cc.png 

No comments:

Post a Comment