Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, September 28, 2013

JACKLINE WOLPER ANUNUA PRADO MPYAAAAA,ITAZAME HAPA


Diamond Platnumz sio msanii pekee anayemiliki Prado. Apparently, muigizaji wa filamu, Jacqueline Wolper aka Wolper Gambe ameshusha mzigo mpya wa kupiga nao misele mitaa ya Dar es Salaam.
1af13f62280e11e3aa8c22000a9e17c4_7
Prado ya Jacky Wolper
Muigizaji huyo ameshare picha kwenye Instagram ya Prado yake mpya na kuandika: My new bebe am in lv wth u darlng. Ila twende kwanza nikakuvalishe kiatu na vitu ving uzid kushne like ur mom gambe.”
85f77a1c281b11e3b1a412313926b4d0_7
Kwenye picha hii Wolper ameandika: Fnsh i thnk kiatu nakofia imependeza bebe

CREDIT : BONGO5.COM

No comments:

Post a Comment