Katibu
Mkuu mpya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Sixtus Mapunda (wapili
kushoto) akiwasalimia baadhi ya watumishi wa makao makuu ya Jumuia hiyo,
jijini Dar es Salaam, alipowasili kuripoti rasmi ofisini kwake, kwenye
jengo la makao makuu hayo ya UVCCM, lililopo kwenye makutano ya Barabara
ya Morogoro na Lumumba. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Jumuia hiyo,
Mfaume Ally Kizigo ambaye Baraza Kuu la UVCCM lililofanyika Zanzibar
juzi, lilimuithinisha kuendelea na nafasi hiyo aliyokuwa akiishikilia
zaidi ya miaka minne sasa.
"HAPA NDIYO OFISINI KWAKO MKUU" Kizigo akisema, wakati wakiwa ofisini kwa Sixtus, makamo makuu ya UVCCM, Dar es Salaam.
Sixtus na Kizigo wakipeana mikakati ya kazi, baada ya mapokezi ya viongozi hao makao makuu ya UVCCM Dar es Salaam, leo. Imetayarishwa na: theNkoromo Blog -
No comments:
Post a Comment