Kiungo wa timu ya Simba, Kiggi Makassi anaelekea nchini India kwa ajili ya matibabu ya goti lake linalomsumbua kwa muda mrefu. Kiggi ambaye alipata majeruhi katika
ligi msimu uliopita, anaondoka jana na ndege ya saa 10:45 jioni kwenda
kufanyiwa upasuaji wa goti lake.
No comments:
Post a Comment