Dk 55 Lewis wa Ruvu anaumia baada ya kugongana na Mbuyu Twite.
Dk 50 SUB: Yanga inafanya mabadiliko anatoka Domayo anaingia Athuman Idd Chuji.
Dk 46 Elius Maguli wa Ruvu anakosa bao la wazi katika lango la Yanga mpira wa kichwa anaopiga unatoka njeHALF TIME YANGA 0 RUVU 0
Dk 38 Kiiza wa Yanga anakosa bao la wazi akiwa amebaki na kipa wa Ruvu Abdul Seif.
DK YA 31 GOAL KEEK
DK YA 27 RUBEN ANAPIGA JUUUUU YA LANGO LA YANGA
DK YA 23 FRANK DUMAYO ANAFANYIWA FAULO
DK YA 20 YANGA WANAPATA KONA
DK 20 STEVANO MWASIKA ANAPENYEZA MPIRA NA HAMNA MTU
DK YA 19 UNAPIGWA MPIRA NA BARTEZ ANADAKA
DK YA 19 MPIRA WA KURUSHA
Dk 14 YELLOW CARD...! George Michael wa Ruvu anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumsukuma Kavumbagu wa Yanga
Dk 6 Ruvu wanapata kona baada ya Cannavaro kuutoa nje mpira. Yanga wanaokoa kona hiyo.
Dk 4 Yanga inapata kona baada ya Shaban Suzan kuutoa nje mpira. Kona inapigwa na Ruvu wanaokoa.
Dk 1 Jerome Lambele wa Ruvu anamchezea rafu Haruna Niyonzima.
Mpira ndio umeanza hapa uwanja wa Taifa kati ya Young Africans Vs Ruvu Shooting
KIKOSI CHA RUVU
Abdul
Seif, Michael Pius, Stephano Mwasyika, George Michael, Shaban Suzan,
Gidion David, Ayoub Kitala, Hassan Dilunga, Cosmas Lewis, Elius Maguli
na Jerome Lambele. Sub: Godhar Misweko, Said Madega, Mangasin Mbonosi,
Mau Bofu, Kulwa Mfaume, Said Dilunga na Juma Seif 'Kijiko'.
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO
1.Ally Mustapha 'Barthez' - 1
2.Mbuyu Twite - 6
3.David Luhende - 3
4.Kelvin Yondani 'Cotton' - 5
5.Nadir Haroub 'Cannavaro' - 23
6.Frank Domayo 'Chumvi' - 18
7.Saimon Msuva - 27
8.Haruna Niyonzima - 8
9.Didier Kavumbagu - 7
10.Hamis Kiiza 'Diego'- 20
11.Mrisho Ngassa - 17
Subs:
1.Deogratius Munishi 'Dida' - 30
2.Juma Abdul - 12
3.Oscar Joshua - 4
4.Athuman Idd 'Chuji ' - 24
5.Nizar Khalfani - 16
6.Said Bahanuzi - 11
7.Jerson Tegete - 10
1.Ally Mustapha 'Barthez' - 1
2.Mbuyu Twite - 6
3.David Luhende - 3
4.Kelvin Yondani 'Cotton' - 5
5.Nadir Haroub 'Cannavaro' - 23
6.Frank Domayo 'Chumvi' - 18
7.Saimon Msuva - 27
8.Haruna Niyonzima - 8
9.Didier Kavumbagu - 7
10.Hamis Kiiza 'Diego'- 20
11.Mrisho Ngassa - 17
Subs:
1.Deogratius Munishi 'Dida' - 30
2.Juma Abdul - 12
3.Oscar Joshua - 4
4.Athuman Idd 'Chuji ' - 24
5.Nizar Khalfani - 16
6.Said Bahanuzi - 11
7.Jerson Tegete - 10
KWA MSAADA WA SHAFIH DAUDA
No comments:
Post a Comment