Pages

Wednesday, September 4, 2013

MATUKIO KATIKA TASWIRA BUNGENI MJINI DODOMA LEO



IMG_1322Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu  kwenye viawnja vya Bunge Mjini Dodoma  Septemba 4, 2013. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_1326Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Adam Malima   kwenye Ofisi za Bunge Mjini Dodoma Septemba 4, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_1338Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge wa Viti Maalum, Fatuma  Mikidadi (kulia)  na Rukia Kassim Ahmed. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment