TAARIFA
za uhakika ni kuwa kuna Askari mmoja ambaye ni miongoni mwa walinzi wa
Bunge ameenda kufungua faili Polisi Dodoma na kusema kuwa ametishiwa kupigwa na Mbunge Sugu,
baada ya kufungua JALADA hilo polisi wamechukua Diffender sita na
wameingia mitaani kumtafuta ili awekwe ndani mpaka kesho ndio afikishwe
mahakamani asubuhi.
Lengo la kutaka kumkamata leo ili alala ndani hadi kesho asubuhi.chanzo jamiiforums.com
No comments:
Post a Comment