Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, September 29, 2013

MKUTANO WA MAOFISA WANADHIMU,WAHASIBU NA MAOFISA MIPANGO WAFUNGWA NA NAIBU WAZIRI MHE. MALEME


1
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Maleme ( katika), Kamishina wa rasilimali wa Jeshi la Polisi (CP  ) Clodwig Mtweve(kulia) na Mkuu wa Chuo cha Polisi Moshi ACP Matanga Mbushi(kushoto)  wakitoka nje mara baada ya kufunga Mkutano wa siku tatu (3) wa Maafisa wanadhimu, Maafisa mipango na Ugavi pamoja na Wahasibu wa Mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi uliofanyika Chuo Cha Polisi Moshi (MPA). Mkutano huo ulilenga kutathimini usimamizi wa Rasilimali na kuboresha mikakati ya kuzuia ya uhalifu nchini. ( Picha na Tamimu Adam, Jeshi la Polisi)2Mhasibu Mkuu wa Jeshi la Polisi Bw. Frank Msaki( kulia), Afisa Mnadhimu wa Polisi Makao Makuu ,Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP) Hassan Mbezi pamoja na  Afisa Mnadhimu wa kitengo cha Fedha, Kamishina Msaidizi  wa Polisi Shihango  wakisikiliza hotuba ya Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Maleme, hayupo katika picha wakati wa kufunga Mkutano wa siku tatu (3) wa Maafisa wanadhimu, Maafisa mipango na Ugavi pamoja na Wahasibu wa Mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi uliofanyika Chuo Cha Polisi Moshi (MPA). Mkutano huo ulilenga kutathimini usimamizi wa Rasilimali na kuboresha mikakati ya kuzuia ya uhalifu nchini. ( Picha na Tamimu Adam, Jeshi la Polisi)3Wahasibu, Maafisa Mipango na Ugavi pamoja na Wanadhimu wa mikoa na vikosi wa Jeshi la Polisi wakisikiliza hotuba ya Mgeni rasmi(hayupo pichani) Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Maleme wakati wa kufunga Mkutano wa siku tatu (3) wa Maafisa wanadhimu, Maafisa mipango na Ugavi pamoja na Wahasibu wa Mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi uliofanyika Chuo Cha Polisi Moshi (MPA). Mkutano huo ulilenga kutathimini usimamizi wa Rasilimali na kuboresha mikakati ya kuzuia ya uhalifu nchini. ( Picha na Tamimu Adam, Jeshi la Polisi)4Maafisa Mipango na Ugavi, Wahasibu  wa mikoa na vikosi wa Jeshi la Polisi wakisikiliza hotuba ya Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Maleme wakati wa kufunga Mkutano wa siku tatu (3) wa Maafisa wanadhimu, Maafisa mipango na Ugavi pamoja na Wahasibu wa Mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi uliofanyika Chuo Cha Polisi Moshi (MPA). Mkutano huo ulilenga kutathimini usimamizi wa Rasilimali na kuboresha mikakati ya kuzuia ya uhalifu nchini. ( Picha na Tamimu Adam, Jeshi la Polisi)

Mkutano wa siku tatu (3) wa Maofisa wanadhimu, Wahasibu na Maofisa Mipango wa Mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi umefungwa rasmi na Naibu Katibu Mkuu wa wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Maleme. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro. Lengo la Mkutano huo lilikuwa ni kuboresha usimamizi wa rasilimali ili kutoa huduma bora na kupunguza malalamiko katika jamii.

No comments:

Post a Comment