Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, September 14, 2013

MOTO WA BURUDANI UNAENDELEA KUWAKA NDANI YA VIWANJA VYA LEADERS CLUB


Mashujaa Band wakiendelea Kutoa Burudani usiku huu katika Viwanja Vya Leaders katika Kili Music Tour
Mashujaa Band wakiendelea na yao katika Jukwaa la Kili Music Tour ndani ya Viwanja vya Leaders Club Usiku huu
Watangazaji wa Kituo Cha Redio na Runinga Cha East Africa Kutoka Kushoto (Dulla wa Planet Bongo) na Zembwela wakiendelea na Kusherehesha Mashabiki waliohudhuria katika Kili Music tour usiku huu katika Viwanja Vya Leaders.
Baadhi ya wapenzi na mashabiki wa Muziki waliojitokeza katika Kili Music Tour usiku huu katika Viwanja Vya Leaders Wakishangilia Burudani kutoka kwa mashujaa band...PICHA NA Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment