Mabondia
Ramadhani Shauri na Cosmas Cheka wakitunishiana misuri wakarti wa
utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa UBO Dar es
salaam utakaofanyika tarehe 27 mwezi wa kumi
Promota
wa Mpambano wa Ubingwa wa UBO Kaike Siraju katikati akiwanyoosha mikono
juu mabondia Ramadhani Shauri kushoto na Cosmasi Cheka watakaopigana
tarehe 27 Mwezi wa kumi jijini Dar es salaam Picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com
MPAMBANO
WA mwingine wa masumbwi unatarajia kufanyika Oktoba 27 katika ukumbi wa
Friends Coner Manzese Dar es salaam litakalo wakutanisha mabondia
Ramadhani Shauri na Cosmas Cheka mpambano huo ulidhaminiwa na Hotel ya
Tanamera ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani
Akizungumza
mratibu wa mpambano huo Kaike Siraju amesema amepata sapoto katika
hotel hiyo ili aweze kuendereza vipaji vya vijana unakumbuka mimi ndie
ninae andaaga mapambano makubwa nchini kama utakumbuka ila nilisimama
kidogo kwa ajili ya kutafakali na kulekebisha mambo yangu binafsi lakini
kwa sasa nimekuja kuinua mchezo huu kwa vijana chipkizi kwanza ndio
msingi wa ngumi duniani kote
aliongeza
kwa kutaja mapambano ya utangulizi kuwa ni Mohamed Matumla anamenyana
na Sadiki Momba huku Amosi Mwamakula akizichapa na Hamisi Ajali na Juma
Fundi atazipiga na Shabani Kilumbelumbe
Siku hiyo
kutakuwa pia na huzwaji wa DVD kali za ngumi wakiwemo mabondia wakali
wanaotamba Duniani na hapa nchini kama.Manny Paquaio, Saul 'canelo'
alverez ,Floyd Mayweathar,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel
Cotto na wengine wengi
DVD hizo za ngumi kali zitakuwa zikiuzwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'
Pamoja na
kutambua sheria na taratibu za mchezo huo siku hiyo pia kuta kuwa na
vifaa vya mchezo huo wa masumbwi vitakavyotolewa zawadi kwa mabondia na
Kocha Super D ambaye ame haidi kutoa, Gum Shit ,Clip Bandeji,DVD za
Mafunzo kwa mabondia, Bukta,Protector na vifaa mbalimbali kwa mabondia
watakao onesha uwezo wa ali ya juu wa kutupiana masumbwi
No comments:
Post a Comment