Kiongozi wa mbio za mwenge Ndugu Juma Ali Simai akikata utepe wa jengo la Shule ya Sekondari ya Migombani iliyopo Tabata Segerea jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa vyumba vya madarasa 7
Kiongozi
wa mbio za mwenge Ndugu Juma Ali Simai akizindua jengo la Shule ya
Sekondari ya Migombani iliyopo Tabata Segerea jijini Dar es Salaam leo
Mkimbiza mwenge ndugu Seperatus N. Lubinga akitoa neno kwenye uzinduzi wa jengo la shule ya sekondari ya Migombani leo
Mkimbiza mwenge akizungumza jambo kwenye uzinduzi wa jengo la shule ya Migombani mchana wa leo.
Kiongozi
wa mbio za mwenge Ndugu Juma Ali Simai(kushoto) akiwa na Mkuu wa Wilaya
ya Ilala Mh. Raymond Mushi katika uzinduzi wa jengo la Shule ya
Sekondari ya Migombani iliyoko Tabata Segerea jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment