Pages

Thursday, September 5, 2013

MWENGE WA UHURU WAZINDUA MADARASA YA SHULE YA SEKONDARI YA MIGOMBANI ILIYOPO TABATA SEGEREA JIJINI DAR


 Kiongozi wa mbio za mwenge Ndugu Juma Ali Simai akikata utepe wa jengo la Shule ya Sekondari ya Migombani iliyopo Tabata Segerea jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa vyumba vya madarasa 7 
 Kiongozi wa mbio za mwenge Ndugu Juma Ali Simai akizindua jengo la Shule ya Sekondari ya Migombani iliyopo Tabata Segerea jijini Dar es Salaam leo
 Mkimbiza mwenge ndugu Seperatus N. Lubinga akitoa neno  kwenye uzinduzi wa  jengo la shule ya sekondari ya Migombani leo
 Mkimbiza mwenge akizungumza jambo kwenye uzinduzi wa jengo la shule ya Migombani mchana wa leo.
 Kiongozi wa mbio za mwenge Ndugu Juma Ali Simai(kushoto) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh. Raymond Mushi katika uzinduzi wa jengo la Shule ya Sekondari ya Migombani iliyoko Tabata Segerea jijini Dar es Salaam
 
Picha na Pamojapure Blog.

No comments:

Post a Comment