Ni msanii anayekwenda kwa jina la Mako-Sana, Chipkizi anayetokea pande za Ruangwa – Lindi
Huu ndio wimbo wake wa Kwanza Unaoitwa:- Unaniponda
Beat Imetengenezwa Studio ya Biashara Record na Producer KP - Lindi
Sauti imeingizwa Studio ya Sit Music – Mbagara, Producer Oscar
Naomba mnipokee!
Usikilize/Udownload hapa chini:-
No comments:
Post a Comment