Kuyafungia
kwenye maputo yenye uwezo wa kubeba mafuta kati ya lita 16-18 kinyume
cha sheria na kukiita kitendo hicho ni kuhujumu uchumi wa nchi ambapo
ameishutumu kampani ya ulinzi ya tipa kuhusika na kitendo hicho na
kuwataka kumpa picha za wafanyakazi wote waliokuwa kitengo cha ulinzi na
kama hawatafanya hivyo kampuni hiyo italipishwa fidia.
Naye kaimu mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya
usimamizi wa bandari Tanzania Mhandisi Madeni Kipande wakati akijibu
mapendekezo yaliyotolewa na waziri mwakyembe kuhusu wafanyakazi wa
mamalaka hiyo amesema ni pamoja na wafanyakazi waliokuwa wameajiriwa
kama vibarua kupewa ajira za kudumu na kubainisha kuongezewa posho
wafanyakazi hao kutoka laki moja awali na kufikia laki mbili pamoja na
laki moja na nusu kama ghrama za chakula
No comments:
Post a Comment