Pages

Tuesday, September 10, 2013

Picha: Shaa amshirikisha Shettah kwenye wimbo wake mpya

Shaa-1
“shettatz shaa ft shetta…. get ready 4 dic…..oghey! cc @shaa_tz”
Ni muda sasa umepita toka tusikie wimbo wa mwisho kutoka kwa msanii Sarah Kaisi aka Shaa, lakini kuna uwezekano siku si nyingi ukimya huo ukakatwa na wimbo mpya.
Masaa 16 yaliyopita Shetta aka baba Qayllah ameshare picha Instagram akiwa studio pamoja Shaa na Master J, walipokuwa wakirecord wimbo mpya wa Shaa aliomshirikisha Shetta unaotarajiwa kutoka hivi karibuni. Picha hizo zilisindikizwa na captions: “shettatz shaa ft shetta…. get ready 4 dic…..oghey! cc @shaa_tz”, “shettatz shaa ft shetta comin soon…na master j now…. #seasonArrow”.

shaa-2
“shettatz shaa ft shetta comin soon…na master j now…. #seasonArrow”

No comments:

Post a Comment