Pages

Sunday, September 29, 2013

PICHA:::DIAMOND AFUNIKA GEITA KWA SHOW YA NGUVU JIONEE

A
Mwonekano wa Ziwa Victoria jioni


Baadhi ya Crew yangu ya WCB wakiwa kwenye pantoni,Jijin mwanza
 wakielekea mkoani Geita,the president nilikuwa nimwshatangulia mapema

Nikiwasili eneo la tukio

Nikiongoza siraha zangu kuwapa haki yao wana Geita


Kama wewe siyo mtu wa mazoezi,dont try this at home.ha ah ha..Rama Tonsa
 akionyesha manjonjo yake



Kwa deck,RJ na Qboy msafi

Nani ananunaa hapa?


Thanx for that love watu wangu wa Geita

Mda wetu wa kulewa sasa.........mapenzi mabaya sana jamani..na mtu akishajuwa
anapendwa huwa anajishauwa sanaaaaaa!!

Huyu Dogo alichukua nafasi ya True boy,Geita kuna bwana am telling you.


Nashukuru Mungu nilimaliza salama na ninawashukuru sana mashabiki wangu wa Geita
ninawapenda sana. 

No comments:

Post a Comment