Ni ngoma mpya kabisa kutoka kwa msanii Peter Msechu ambayo ni kama mchango wake kwa Taifa la Kenya tangu lilipo patwa na maafa ya kuvamiwa na wafuasi wa Alsha Baab katika kituo cha kibiashara kijulikanacho kama Westgate kilichopo mjini Nairobi.
Ngoma inaitwa Kenya Itadumu... Kuwa wa kwanza kuisikiliza hapa
No comments:
Post a Comment