skip to main |
skip to sidebar
TAARIFAAA:::: UJUMBE MZITO KUTOKA KWA JOKATE(KIDOTI)USOME HAPA
"Okay leo nimeamua kupitia page yangu ya Instagram ku-address the
following pressing matters kwenye ulimwengu wa majungu. 1. Luciano Gadie
Tsere is NOT my LOVER and noooo hatumegani kisela. Na hata kama it were
true inakuhusu nini yeye si mwanaume na mimi mwanamke. Sioni ishu.
Kwenye Sanaa kuna kitu kinaitwa kuweka uhalisia. And that's what we did
na KAKA DADA. I respect Lucci. Ni kaka yangu na tunafanya kazi nyingi
sana zinakuja. Kuna watu wanefungua mpaka BBM group to discuss me and
Lucci and this so called affair. Jamani kuliko maneno tufanyeni Kazi
kuendeleza nchi yetu 2. Sijifanyi mtakatifu. Ila najitahidi kufanya
matendo yanayompendeza Mungu.
Na kwasababu kama binadamu sina ukamilifu
basi only God can really judge me cause ndio anajua moyo wangu kuliko
binadamu yoyote yule. Ila I'm a pretty good girl to be honest. Najaribu.
Kwa nyinyi walimwengu don't be fooled by my PRETTY BABY FACE am a
beast, am fierce and I don't take trying to tarnish my image easily. So
kindly don't mess with KIDOTI. 3. Yes there's some guy I'm checking out.
Like any other female I deserve love. So whoever it is tafadhali
tusiharibiane kwa maneno maneno. Nimemaliza. Mniache nilale sasa."
2 b honest
ReplyDeleteUmepublish kwa hisia za moyo wako kabtha
Nakupongeza
......mkweli.......
safiiii basi sawaaa
ReplyDeletekumbe
ReplyDeletekisela