Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, September 13, 2013

Taasisi ya WAMA yakabidhi Gari la Wagonjwa Hospitali ya Sokoine Mkoa wa Lindi

Picha-no--1_d872a.png
Mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) Mama Salma Kikwete akitoa risala fupi wakati wa halfa ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa lililotolewa na Taasisi hiyo kwa hospitali ya Sokoine Mkoa wa Lindi,kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Ludovick Mwananzila na kulia ni Kaimu katibu tawala wa hospitali hiyo Tawani Selemani.
picha-no-3_a81d7.png
Mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) Mama Salma Kikwete akimuonyesha gari la kubebea wagonjwa Mkuu wa Mkoa wa lindi Ludovick Mwananzila lililotolewa na Taasisi hiyo wakati wa alipolikabidhi kwenye hospitali ya Sokoine mkoani hapo.(P.T)
Picha-no-4_f6564.png
Mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Hospitali ya Sokoine Mkoa wa Lindi baada ya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa katika hospitali hiyo.
Picha-no-5_18404.png
Picha no 5 Mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) Mama Salma Kikwete akikabidhi funguo za gari la kubebea wagonjwa kwa Mganga Mfawidhi wa hospitali ya Sokoine Dk.Abdallah Chome kulia ni Mkuu wa Mkoa wa lindi Ludovick Mwananzila gari hilo limetolewa na Taasisi hiyo kwa ajili ya kusaidia wagonjwa.
(Picha na Lorietha Laurence-Maelezo)

No comments:

Post a Comment