WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 18/09/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza]:
[Mikoa ya Kigoma na
Shinyanga]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam,
Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Ruvuma, Mtwara na
Lindi]:
[Mikoa ya Rukwa,
Iringa na Mbeya]:
[Mikoa ya Morogoro, na
Tabora]:
[Mikoa ya Singida na
Dodoma]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
TAHADHARI:
UPEPO MKALI UNAOKADIRIWA KUFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOKARIBIA
MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA MAENEO YA PWANI YA KASKAZINI. TAFADHALI CHUKUA
TAHADHARI
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA
NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
28°C
|
10°C
|
12:30
|
12:31
|
D'SALAAM
|
33°C
|
20°C
|
12:19
|
12:20
|
DODOMA
|
29°C
|
15°C
|
12:43
|
12:34
|
KIGOMA
|
31°C
|
21°C
|
12:57
|
12:58
|
MBEYA
|
27°C
|
07°C
|
12:44
|
12:42
|
MWANZA
|
28°C
|
17°C
|
12:43
|
12:46
|
TABORA
|
32°C
|
18°C
|
12:45
|
12:46
|
TANGA |
30°C
|
21°C
|
12:20
|
12:21
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
21°C
|
12:19
|
12:20
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki; kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini
na kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa.
Matazamio kwa siku ya Ijumaa:
20/09/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 18/09/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
No comments:
Post a Comment