iliyopewa kaulimbiu ya Kikwetu kwetu imefanyika mkoani Kigoma na kuvunja
rekodi ya mahudhurio katika uwanja wa Lake Tanganyika baada ya maelfu ya wakazi
wa mji wa Kigoma na maeneo ya jirani kufurika kwa wingi kuwashuhudia wasanii
wakali 12 waliopanda jukwaani. Kivutio kikubwa katika tamasha hilo ilikuwa ni
wanamuziki wanne wanaounda kundi la Kigoma All Stars, Diamond, Mwasiti, Linex
na Recho kupanda mwishoni na kuimba wimbo wao maarufu wa Leka Dutigite na
kupata shangwe kubwa toka kwa mashabiki. Hizi ni baadhi ya picha za matukio
yaliyotokea
TUME YAWAPIGA MSASA MAOFISA WA POLISI KUHUSU SHERIA ZA UCHAGUZI
-
*Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima
Ramadhani akifafanua jambo wakati wa mafunzo ya siku moja kuhusu sharia za
uchaguzi...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment