Pages

Thursday, September 5, 2013

Traffic police wanaharibu madereva kisaikolojia;Haya ni maoni Ya Mdau

ubungo1_33873.jpg
Tanzania haiishi maajabu. Ndio nchi pekee duniani ambapo unakuta polisi wa usalama barabarni kasimama kwenye mataa ya kuongozea magari (yanayofanya kazi) na yeye kuongoza magari kinyume cha rangi za taa zinazoashiria!
Mbaaya zaidi, ukikuta mataa pekee ndo yanafanya kazi basi madereva hawaheshimu rangi gani inawaka. Utakuta mtu analazimisha kuvuka taa nyekundu badala ya kusimama na zikiwakaa kijanai wengine ndo wanataka kusimama!
Polisi wanatufanya tuwe na usugu wa kupuuzia rangi za mataa kiasi wakiondoka tu ili kupisha taa zifanye kazi basi msongamano unaanzia hapo maana hakuna tena anayejali taa za barabarani zina maana gani.
Tanzania bhana...!

No comments:

Post a Comment