Pages

Thursday, September 5, 2013

Wakili Israel Magesa amefariki ..!!



photo3_36dd6.jpg
Ndugu, jamaa na marafiki !
Nasikitika kuwataarifu kuwa baba yangu mzazi Wakili Israel Magesa amefariki leo asubuhi ghafla, msiba uko nyumbani kwa marehemu Ukonga Majumba sita.
Taratibu za mazishi zinafanywa hapo, na tunatarajia kumuaga rasmi siku ya ijumaa 6/9/2013 hapa Dar Es Salaam na mazishi yatafanyika kijijini kwetu Chitare, Majita, Musoma Vijijini siku ya jumapili tarehe 8/9/2013.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.
RIP my Dad Israel, one of the very best and dedicated lawyer, a great friend and my mentor.
Phares Magesa,

No comments:

Post a Comment