Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, September 3, 2013

Waziri wa Ujenzi Dkt. Magufuli akutana na Waziri wa Uchukuzi wa Malawi leo..


Waziri wa Ujenzi Mh. Dkt. John Magufuli (kushoto) leo amekutana  na Waziri wa Uchukuzi kutoka Malawi Mh.Sidik Mia (wapili pichani kutoka kulia) pamoja na Ujumbe wake jijini Dar es Salaam, (katikati) ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi Herbet Mrango.

Waziri wa Ujenzi Mh. Dkt, John Magufuli (alienyanyua mkono) akiongea na ujumbe kutoka Malawi  alipokutana nao leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

Waziri waUjenzi Mh. Dkt. john Magufuli (kushoto) akimkabidhi  nyaraka Waziri wa Uchukuzi wa Malawi Mh. Sidik Mia (kulia) leo jinini Dar es Salaam,walipokutana na kuzungumza masuala mbalimbali yakiwemo kuimarisha ushirikiano katika nyaja za usafirishaji .(katikati) Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Hebert Mrango.

Waziri wa Ujenzi  Mh. Dkt. John Magufuli (kushoto) akiaagana  na Waziri wa Usafirishaji kutoka Malawi (kulia) Mh. Sidik Mia pamoja na baadhi ya ujumbe wake baada ya kumtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam,(katikati mwenye tai nyekundu) ni Waziri wa Nishati wa Malawi Mh. Ibrahim Matola.

(Picha zote na Mwanakombo Jumaa)

No comments:

Post a Comment