skip to main |
skip to sidebar
ZIARA YA KINANA YALETA NEEMA YA MAJI KISHAPU MKOANI SHINYANGA
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu
Abdulrahman Kinana akiwasaidia kuwatwisha ndoo ya maji wakina mama wa
kijiji cha Mwigumbi wilayani Kishapu Mkoa wa Shinyanga baada ya kuzindua
mradi mkubwa wa maji katika kata ya Mondo..
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape
Nnauye akimsaidia kumtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Mwigumbi
,wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga baada ya kuzinduliwa kwa mradi mkubwa
wa maji na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Pichani ni Tanki la Maji lenye uwezo
wa kuwahudumia wakazi 4000, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
alizindua mradi huo wa maji uliopo kata ya Mondo kijiji cha Mwigumbi
wilaya ya Kishapu.
No comments:
Post a Comment