Sheikh
Issa Ponda akishuka kwenye basi la Magereza tayari KuingiaMahakama ya
Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro leo ambapo leo Mahakama Ilikuwa inatoa
Maamuzi kuhusu Kufutiwa shitaka moja kati ya matatu yanayomkabili Sheikh
Ponda katika Mahamama hiyo.Mahakama Imetupilia Mbali Ombi hilo na kesi
itaendelea Kusikilizwa katika Mahamama hiyo.Kesi hiyo imeahiriswa Mpaka
tarehe 7 November mwaka huu ambapo mahakama itaanza kusikiliza Mashahidi
wa kesi hiyo.Sheikh Ponda Amerudiswa Rumande.
Sheikh Issa Ponda Akiingia katika viwanja vya mahakama ya Hakimu mkazi mkoa wa morogoro..
Sheikh Ponda akiwa mahakamani akimsubiri Hakimu tayari kusikiliza Kesi yake katika Mahakama ya Hakimu mkazi Mkoa wa morogoro
Mke wa sheikh Ponda akiwa mahakamani
Ulinzi ukiwea umeimarishwa mahakamani hapo leo wakati kesi hiyo ikiendelea katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wsa morogoro
No comments:
Post a Comment