Kila mtu anaithamini na kuipenda tarehe ya siku
yake
ya kuzaliwa,ni siku ambayo baadhi yetu huifurahia kwa
mitindo tofauti
tofauti kulingamna
na nafasi aliyonayo mtu husika,lakini hebu
jiulize
how it feels ndani ya hiyo siku mhimu kabisa
unapofanyiwa kitu kizuri na
cha pekee na mtu
mhimu maishani mwako,inapendeza siyo?hivyo ndivyo
nilivyojiskia siku ya jana baada ya
kufanyiwa suprise ya
birthday party
na kipenzi changu,Penniel pamoja
na
Mama yangu mpenzi,dada yangu Esma,Halima kimwana
na familia yangu kwa
ujumla. checkout picha zikijieleze zenyewe........
|
No comments:
Post a Comment