AZMA TV
imeanza kuonyesha mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara kupitia Kituo cha
TBC1. ambapo meci ya kwanza ilikuwa ni mchezo kati ya Simba na Ruvu
Shooting, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Picha
nyingine ni baadhi ya wafanyakazi wa Crew ya AZAM TV wakiwa kazini ndani
ya Uwanja wa Taifa.
Watafiti wametakiwa kutumia mbinu shirikishi ili kupata matokeo chanya kwa
jamii
-
Watafiti wametakiwa kushirikisha makundi mbalimbali ya jinsia zote katika
hatua za awali za utafiti wao ili kupata taarifa zitakazoisadia Serikali
kutatu...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment