Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, October 7, 2013

ANGEL,HISIA,TANAH NA DUBSON KUIWAKILISHA TANZANIA TUSKER PROJECT FAME TOA SAPOTI YAKO


tusker-6-23Tusker project fame mashindano yaliyomtaburisha msanii Hemed kwenye anga la muziki, hivi sasa yamefikia hatua ya washiriki kukaa kwenye academy. Matumaini ya watanzania kufanya vizuri kwenye mashindano haya yapo mikononi mwa watu wanne. Watu wenyewe ni   Angel, 23 yrs, Hisia, 21 yrs Tanah, 21 yrs na Dubson, 25yrs. Fuatilia Tusker Proect fame na uwape support washiriki hawa
Washiriki hawa ni baadhi ya washiriki wengine 25 kutoka nchi mbalimbali za Africa Mashariki

No comments:

Post a Comment