Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, October 8, 2013

BALOZI WA MAREKANI AMALIZA MUDA WAKE



us11_1113e.jpg
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha na Balozi wa Marekani nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Mhe Alfonso Lenhardt na mke wake leo walipofika Ikulu kuaga na kumshukuru Rais na serikali yake kwa ushirikiano alioupata katika kipindi chake cha ubalozi hapa nchini.
us22_a6a7c.jpg
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuaga mke wa Balozi wa Marekani nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Mhe Alfonso Lenhardt leo walipofika Ikulu kuaga na kumshukuru Rais na serikali yake kwa ushirikiano alioupata katika kipindi chake cha ubalozi hapa nchini. Mama Salma Kikwete alikuwepo pia katika kuwaaga wanadiplomasia hawa.
us33_5e8fc.jpg
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Balozi wa Marekani nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Mhe Alfonso Lenhardt leo walipofika Ikulu kuaga na kumshukuru Rais na serikali yake kwa ushirikiano alioupata katika kipindi chake cha ubalozi hapa nchini.
PICHA NA IKULU (P.T)

No comments:

Post a Comment