Pages

Thursday, October 3, 2013

BREAKING NEWZZZ...NDEGE IMEANGUKA ENEO LA GONGO LA MBOTO DSM

 
Breaking News:Ndege ndogo ya Kampuni ya Aslum imeanguka eneo la Gongolamboto DSM ikiwa kwenye mafunzo ya vitendo kwa mwanafunzi wa urubani.Ndege hiyo ilikuwa na rubani 1 na mwanafunzi 1
TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIA HIVI PUNDE

No comments:

Post a Comment