Pages

Tuesday, October 1, 2013

CHEKI VERSE ZA FID Q ALIZOMWANDIKIA SALAMA JABIR LEO KWENYE BIRTHDAY YAKE

fidq >>Happy Earthday Cheupe @ecejay .. A k a Andunje au Kistuli/ one of the smartest people i know.. #Vizuri / Leo nimeamua kufunguka ili upate kunitambua kwa hizi tungo/ tafadhali usinizuie kuongea..hiyo ni sawa na kujaribu kuficha jua kwa ungo/ Asante kwa kuwa mshkaji wa ukweli/ incharge haujafeli.. Uko poa? Au kama kuna lolote unahitaji niTeli/ una namba zangu zote za Celly/ na sina mpango wa kukumwagia maji, mimi ni rasta.. Man selektah kama Kerry/ Pheeew.. Hivi nimekusalimu au nimekurupuka tu kama Ngadu aliyetoka baharini ? / na kuja nchi kavu.. Lakini yote ni love tu ama nini?/ Enhee.. U hali gani?/ ' unaonaje ' kama tukienda kusherehekea B,day yako Forodhani? / najua utanijibu ' unaona kwa Macho' tu/ na hicho ndio kitu ambacho Q humfanya aseme hauna ufagio/ nikiuliza unajisikiaje leo? Utanijibu ' wallah kwa masikio ' / basi sawa.. / yangu ni hayo tu.. (C) Cheusidawa

No comments:

Post a Comment