Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Balozi wa Tanzania, nchini Addis Ababa, Ethiopia, Naimi
Aziz, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Okt 3,
2013 kwa ajili ya mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Yahya Moosa Bakari, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Okt 3, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini
No comments:
Post a Comment