Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, October 6, 2013

HAFLA YA KUTAMBULISHA NANI MTANI JEMBE KWA WAFANYAKAZI WA TBL DAR YAFANA `KINOMA`!!

01 Mfanyakazi wa TBL Dar, Fadhil Shem (kulia) akipokea zawadi ya begi kutoka kwa mshehereshaji katika hafla ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili.02Wafanyakazi wa TBL Dar wakishindana kuvuta kamba katika hafla hiyo. 
03 Mfanyakazi wa TBL ambaye ni shabiki wa Yanga , Denis Undole akishiriki shindano la kupiga danadana katika hafla hiyo.04 Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Timu ya Yanga, Mohamed Bhinda (kulia), akimkabidhi zawadi ya begi mfanyakazi wa TBL Athumani Mshana05Kaimu Mwenyekiti wa Timu ya Simba, Joseph Itangare (kulia) akimvisha shabiki kitambaa cha timu hiyo kwenye hafla hiyo.
IMG_8485Meneja wa Kiwanda Cha Bia (TBL), Calvin Martin akisalimiana na viongozi wa Simba na Yanga

No comments:

Post a Comment