HUU NDO MWONEKANO WA MSANII NAKAAYA BAADA YA KUPATA MIMBA
Mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva ambaye pia ni dada wa aliyekuwa Miss
Tanzania 2005,Nancy Sumari,Nakaaya Sumari amepost picha mbalimbali
mtandaoni akiwa na ujauzito ambao unaonyesha atajifungua muda wowote
kutokana na ukubwa wake... mcheki hapa..
Watu mbalimbali wamempongeza Nakaaya na kumtakia kila la heri na
ajifungue salama huku yeye mwenyewe akiandika Sasa huku ndio kuchoka...
No comments:
Post a Comment