Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, October 2, 2013

KIJANA ACHEZEA KICHAPO TOKA KWA BINTI BAADA YA KUMWANGUSHA KWENYE MAJI WAKATI AKIMVUSHA, CHEKI HAPA


clip_image002Dada akiwa amebebwa alipokuwa akivushwa kwa malipo kwenye dimbwi la maji ya mvua eneo la Magomeni Kagera, Dar es SalaamMbebaji akiwa amemwangusha dada huyo kwenye dimbwiDada akimkunja kijana aliyemdondosha kwenye dimbwi. Wasamaria wema wakimsaidia dada kumtoa kwenye dimbwiDada akilia baada ya kuokolewa.
PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA

No comments:

Post a Comment