Dada akiwa amebebwa alipokuwa akivushwa kwa malipo kwenye dimbwi la maji ya mvua eneo la Magomeni Kagera, Dar es SalaamMbebaji akiwa amemwangusha dada huyo kwenye dimbwiDada akimkunja kijana aliyemdondosha kwenye dimbwi. Wasamaria wema wakimsaidia dada kumtoa kwenye dimbwiDada akilia baada ya kuokolewa.
PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA
No comments:
Post a Comment