Ras Aluta Christopher Warioba
akiongea na waandishi wa habari kwenye kongamano la wasanii wa Reggea
lililofanyika leo kwenye viwanja vya BASATA
Ras Inocent akiongea neno kwenye kongamano la wasanii wa Reggea lililofanyika leo kwenye viwanja vya BASATA
Ras Ton akizungumza na vyombo vya habari wakati wa kongamano la Reggea lililofanyika leo kwenye viwanja vya BASATA
Ras Baraka akiwa kwenye stage akifanya maandalizi ya kuonesha burudani kwa wapenzi wa Reggea
Ras Inocent akitoa burudani kwenye kongamano hilo
Hata wakina mama nao walikuwepo
Hapa ni kuruka wa burudani
Mama huyu alishindwa kuvumilia music wa Reggea akaanza kucheza kwenye mvua
Dabo akitoa burudani wakati mvua
ikiendelea kunyesha yaani mzuka kulikuwa hakuna kusitisha furaha kwa
wapenzi wa Reggea wwaliokuwa kwenye tamasha ilo
Ni burudani tu hakuna kusubilia mvua ikatike
Ras Ikabonnga Katondo akiwa na Ras Anord Kalikawe kwenye kongamano lililofanyika leo kwenye viwanja vya BASATA
PICHA ZOTE NA PAMOJAPURE/PAMOJA BLOG
No comments:
Post a Comment