Akivishwa vazi la Asili la
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya Wazee waliohudhuria katika sherehe za Kilele cha
Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani, baada ya kuhutubia katika sherehe
hizo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Mandu, Korogwe Mkoani Tanga leo Okt.
01, 2013. Picha na OMR.
No comments:
Post a Comment